Mashine ya kusaga karanga na rojo peanut butter making machine
- Chagua bidhaa
- Ingiza idadi ya bidhaa unazohitaji
- Kisha bonyeza "weka oda zako"
- Hakikisha bidhaa na idadi kwenye kikapu
- Jaza mawasiliano yako na anuani
- Chagua njia ya malipo
- Fanya Malipo
- Tuma uthibitisho wa malipo kwenda
- 0659593535 whatsapp au
- Piga namba: 0745-260-019
Chagua Bidhaa
FURSA ZA UJASIRIAMALI KUPITIA MASHINE HII YA KUSAGA ROJO
Uwezo 15kg kwa saaUwezo 30kg kwa saa
1. Uzalishaji wa siagi ya Karanga (Peanut butter) kwa matumizi ya kupaka kwenye mikate, kuungia mboga nk.
2. Kutengeneza siagi ya kokoa (Cocoa butter)
3. Kutengeneza siagi ya karanga za lozi (Almond butter)
4. Kusaga Korosho na kutengeneza siagi yake. Ni nzuri mno!
5. Kutengeneza Rojo la soya (Soybean Paste). Pia ni Nzuri kwa kutengeneza maziwa ya Soya (Soybean milk)
6. Umewahi kufikiria Siagi ya parachichi (Avocado butter)? Ni Siagi nzuri hasa kwa wanaopenda kupunguza mwili. Mashine hii inatengeneza.
7. Kutengeneza maziwa ya ngano (Wheat milk)
8. Siagi/rojo la Ufuta (Sesame Butter). Wale wakulima wa ufuta wafikirie pia fursa hii. Toka katika "comfort zone" na lipangie mikakati ya utekelezaji wazo hili, utatushukuru siku nyingine
Rated power: 1100W
Rated power supply: 220V
Production efficiency: 15 kg
Product gross weight: 24KG
Motor speed: 2800 rpm
Product material: aluminum alloy + stainless steel
REAL PICTURE