Tiketi za semina 'KUITAFUTA SHILLINGI'
Tiketi za semina 'KUITAFUTA SHILLINGI'
Tiketi za semina 'KUITAFUTA SHILLINGI'
Tiketi za semina 'KUITAFUTA SHILLINGI'

Jinsi ya kuweka Oda
 • Chagua bidhaa
 • Ingiza idadi ya bidhaa unazohitaji
 • Kisha bonyeza "weka oda zako"
 • Hakikisha bidhaa na idadi kwenye kikapu
 • Jaza mawasiliano yako na anuani
 • Chagua njia ya malipo
 • Fanya Malipo
 • Tuma uthibitisho wa malipo kwenda
    0659593535 whatsapp au
    Piga namba: 0745-260-019

Chagua Bidhaawapo wanaohitaji kuanza biashara ila mitaji ni tatizo ni midogo, wapo wenye mitaji hawajui wafanye nini, wapo waliokwishapokea Mikopo ila kuifanya ikafanye sawasawa na wazo la biashara inakuwa ni changamoto na mwisho wa siku anashindwa kurudisha marejesho. Lakini pia hata hao wenye mikopo baada ya kuipokea usimamizi wa lile wazo lao ukoje, bidhaa zao wanaziingizaje sokoni? Vipi kuhusu Muonekano wa bidhaa Zake? Njia za masoko wanazotumia zikoje? Ujumbe wa kuvutia wateja ukoje? Mlolongo wote huo unahitaji Elimu kufaham Wapi mtu anaweza kukosea katika kuitafuta SHILINGI.
.

Niwambie kitu, ipo siri ya unakopata huduma zako za kibiashara, ukizijua lazima ufikie malengo yako ya baadae yote mtayapata kwenye semina.

Mwisho wa kununua tiket Alhamis ijayo..

Semina itafanyika jumamosi ijayo tarehe 24/4/2021

Muda wa semina
Saa nne hadi saa kumi jioni.
Chakula cha mchana kitakuwepo ndani ya pesa ya tiketi.

wapo wanaohitaji kuanza biashara ila mitaji ni tatizo ni midogo, wapo wenye mitaji hawajui wafanye nini, wapo waliokwishapokea Mikopo ila kuifanya ikafanye sawasawa na wazo la biashara inakuwa ni changamoto na mwisho wa siku anashindwa kurudisha marejesho. Lakini pia hata hao wenye mikopo baada ya kuipokea usimamizi wa lile wazo lao ukoje, bidhaa zao wanaziingizaje sokoni? Vipi kuhusu Muonekano wa bidhaa Zake? Njia za masoko wanazotumia zikoje? Ujumbe wa kuvutia wateja ukoje? Mlolongo wote huo unahitaji Elimu kufaham Wapi mtu anaweza kukosea katika kuitafuta SHILINGI.
.

Niwambie kitu, ipo siri ya unakopata huduma zako za kibiashara, ukizijua lazima ufikie malengo yako ya baadae yote mtayapata kwenye semina.

Mwisho wa kununua tiket Alhamis ijayo..

Semina itafanyika jumamosi ijayo tarehe 24/4/2021

Muda wa semina
Saa nne hadi saa kumi jioni.
Chakula cha mchana kitakuwepo ndani ya pesa ya tiketi.

Liquid error (sections/wholesale-collection.liquid line 24): Array 'collection.products' is not paginateable.